Stefan Thumann, mkuu wa kampuni ya Ujerumani inayoiuzia Ukraine droni za mashambulizi, amesema anaishi mafichoni baada ya mamlaka kumwonya kuhusu njama inayodaiwa kutoka Urusi ya kutaka kumuua.
DAR ES SALAAM: Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili ( MOI) imeanza kutumia teknolojia ya kisasa kutoa matibabu ya ...
Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa watumiaji, imekuwa ...
Utafiti ambao unafanyia majaribio teknolojia inayodaiwa kuwa na uwezo wa kutofautisha watu wapenzi wa kawaida na wapenzi wa jinsia moja umezua mzozo mkali kati ya waliotayarisha teknolojia hiyo na ...
Wakulima wa eneo la Mbeere , kaunti ya Embu nchini Kenya wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuletewa teknolojia ya kisasa ya kuimarisha kilimo cha kumwagilia maji. Mashine hiyo ni rafiki kwa ...